hello ,
Naomba kuuliza kwanini wanawake wengi huwa hawapendani, au kusifiana
OKOA NEW GENERATION
April 16, 2015
December 08, 2014
TICTS FAMILY DAY YANOGA JIJINI DAR
Mkurugenzi
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Ushushaji Mizigo Bandarini - Tanzania
International Container Terminal (Ticts), Paul Wallace (kulia)
akimkabidhi zawadi kwa timu kapteni wa timu ya Operations ambao
waliibuka kidedea dhidi ya Workshop kwa kunyakua makombe yote katika
michezo mbali mbali iliyochezwa katika Bonanza la Siku ya Familia
iliyofanyika mwishoni mwa wiki ndani ya Kiota cha Kunduchi Wet and Wild
jijini Dar es Salaam. Lengo la Siku hiyo ilikuwa ni kuwakutanisha
wafanyakazi na familia zao zifurahi kwa pamoja.
Mkurugenzi
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Ushushaji Mizigo Bandarini - Tanzania
International Container Terminal (Ticts), Paul Wallace akifafanua jambo
mbele ya waandishi wa habari.
Meneja Kitengo cha Makontena TICTS, Bw. Donald Talawa akielezea madhumuni ya siku ya familia iliyoandaliwa na TICTS.
Benki ya Exim yadhamini michuano ya Gofu kwa Maafisa Watendaji Wakuu Kutoka Makampuni mbalimbali Viwanja Vya Lugalo
Meneja Msaidizi wa
Uwekezaji na Biashara Kubwa wa Benki ya Exim, Thobius Samwel (wa kwanza
kushoto) akitoa maelezo juu ya huduma za kibenki zitolewazo na benki yake kwa washiriki wa shindano la Gofu liloandaliwa
kwa watendaji wakuu wa makampuni mbali mbali jijini Dar es Salaam lililofanyika
katika viwanja vya Gofu vya Lugalo, mwishoni mwa wiki jijini Dar Es Salaam. Kushoto
ni Afisa Mauzo, wa benki hiyo Bw. Ishaq Samailla. Benki ya Exim ilikuwa miongoni mwa wadhamini.
Meneja Msaidizi wa
Uwekezaji na Biashara Kubwa wa Benki ya Exim, Joseph Lema (katikati) akichukua
moja ya vipeperushi vyenye maelezo juu ya huduma za kibenki zitolewazo na benki
yake, kumpatia mshiriki wa shindano la Gofu liloandaliwa kwa watendaji wakuu wa
makampuni mbali mbali jijini Dar es Salaam lililofanyika katika viwanja vya
Gofu vya Lugalo, mwishoni mwa wiki jijini Dar Es Salaam. Kushoto ni Afisa Mauzo,
wa benki hiyo Bw. Ishaq Samailla.Benki ya Exim ilikuwa miongoni mwa wadhamini.
Meneja Msaidizi wa
Uwekezaji na Biashara Kubwa wa Benki ya Exim, Joseph Lema (katikati) akitoa maelezo
juu ya huduma za kibenki zitolewazo na benki yake, kwa mmoja wa washiriki wa
shindano la Gofu liloandaliwa kwa watendaji wakuu wa makampuni mbali mbali
jijini Dar es Salaam lililofanyika katika viwanja vya Gofu vya Lugalo, mwishoni
mwa wiki jijini Dar Es Salaam. Kushoto ni Afisa Mauzo, wa benki hiyo Bw. Ishaq
Samailla.Benki ya Exim ilikuwa miongoni mwa wadhamini.
Meneja Msaidizi wa
Uwekezaji na Biashara Kubwa wa Benki ya Exim, Thobius Samwel (kulia) akitoa
maelezo juu ya huduma za kibenki zitolewazo na benki yake kwa washiriki wa shindano la Gofu liloandaliwa
kwa watendaji wakuu wa makampuni mbali mbali jijini Dar es Salaam lililofanyika
katika viwanja vya Gofu vya Lugalo, mwishoni mwa wiki jijini Dar Es Salaam.
December 07, 2014
ATULI: Mtunisi Hana Mvuto Kwangu, Nimepata Mzungu
Kuonesha msisitizo, Batuli alisema kwa Mtunis ilikuwa ni kama daraja tu , alishapita hivyo hana mpango naye tena kwani tayari amepata mchumba wa Kizungu , raia wa nchi moja barani Afrika, ambaye muda wowote atamtangaza kuwa mume wake .
Alisema anaamini kwamba si kila jambo lililowahi kumtokea lina maana kwake kwani hata kutoka na Mtunis ilikuwa ni kipindi cha muda mfupi na mchumba wake wa sasa ana mvuto zaidi kuliko zilipendwa wake huyo .
Akizidi kumwagia sifa mpenzi wake wa sasa ,Batuli alisema anajivunia kuwa ni mtu sahihi kwake, ni mfanyabiashara mkubwa kutoka nje na Bongo ana kampuni nyingine kubwa hivyo si mtu wa maisha duni kama wengine .
“Mtunis wapi bwana sasa hivi kwangu ? Hana mvuto na kama niliwahi kutoka naye basi kipindi kile , sasa hivi kiukweli nipo na wanaume ambaye nampenda na muda ukifika , ataniweka ndani, kila mmoja atamjua, ” alisema Batuli.
Le Project Mupya
Subscribe to:
Comments (Atom)





.jpg)




